Kwanini umeondoa LAST-SEEN kwenye whatsapp yako??

Kwanini umeondoa LAST-SEEN kwenye whatsapp yako??

Paa

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
1,462
Reaction score
2,935
Nia yangu sio kuingilia maisha ya mtu, mimj na wasomaji wengine tunataka tu kujua kwanini umeiondoa LAST- SEEN yako whatsapp??

Mimi binafsi sijaiondoa, na wala sioni sababu ya kuiondoa.

Je, wewe umeiondoa au ipo.. Kama umeiondoa ni kwanini?
Kama ipo sihitaji kujua sababu[emoji57]
 
Wewe kaka najua upo hapa jf kwanini umeondoa blue tick haujui kiasi gani huwa naboreka ndo maana nimesusa kujibu sms zako.
Vizuri sana kuja kulisemea huku. Kwa taarifa yako nimefunga hata ile status view report.......
 
Mbona sielewi...[emoji53] [emoji53]
Ama unamaanisha whatsap niga...[emoji45] [emoji45]
 
Back
Top Bottom