Mapema asubh asubhKama kawaida yangu nishatia timu hapa....
Hii ndio chai yenyeweMapema asubh asubh
Kha una balaaHii ndio chai yenyewe
Niko poa mySijambo my hofu kwako
Aje kabisa maana ya kwake ndio inaonesha mwezi uliopita kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nafurahi kusikia hivyo my.Niko poa my
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kha una balaa
Kuna wale wa gb whatsapp anatoa online status, anatoa last seen au anaset last seen ya nyuma waweza sema hayuko wassap ametoa blue tick na zile tick mbili inakua moja hata zile story anaview lakini we huoni kama anaviewNimeondoa Blue tick na Last seen maana sitaki ugomviii na wifi enuu!!
Sawa my [emoji4]Nafurahi kusikia hivyo my.
Ukimuona my carba umsalimie
Kazana atakuona tu hahaha uko poa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Muda si mrefu nitaunga mkono juhudi za mtukufu nikazitue...
Mimi niko salama salimini kama unavyoniona hapa kwa maandishi.Kazana atakuona tu hahaha uko poa?
[emoji120] [emoji120]Sawa my [emoji4]
Ngoja na mimi nitafanya hivyo....Kuna wale wa gb whatsapp anatoa online status, anatoa last seen au anaset last seen ya nyuma waweza sema hayuko wassap ametoa blue tick na zile tick mbili inakua moja hata zile story anaview lakini we huoni kama anaview
Shida zote za nini hahahhaha nilikua natumia hiyo nikadownload na gbinstaram niweze download zile clips nazipenda insta sim ilikua inaniletea ads sjui zinakotokea ilibidi nifute zile nikabakiwa na whatsapp ya playstore na insta yangu ndoo nafuuNgoja na mimi nitafanya hivyo....
Bora mi nshajizeekea. Hapa hata sijui unaongelea kitu gani.Kuna wale wa gb whatsapp anatoa online status, anatoa last seen au anaset last seen ya nyuma waweza sema hayuko wassap ametoa blue tick na zile tick mbili inakua moja hata zile story anaview lakini we huoni kama anaview