Kwanini umeondoa LAST-SEEN kwenye whatsapp yako??

Kwanini umeondoa LAST-SEEN kwenye whatsapp yako??

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Muda si mrefu nitaunga mkono juhudi za mtukufu nikazitue...
Kazana atakuona tu hahaha uko poa?
 
Kuna wale wa gb whatsapp anatoa online status, anatoa last seen au anaset last seen ya nyuma waweza sema hayuko wassap ametoa blue tick na zile tick mbili inakua moja hata zile story anaview lakini we huoni kama anaview
Ngoja na mimi nitafanya hivyo....
 
Ngoja na mimi nitafanya hivyo....
Shida zote za nini hahahhaha nilikua natumia hiyo nikadownload na gbinstaram niweze download zile clips nazipenda insta sim ilikua inaniletea ads sjui zinakotokea ilibidi nifute zile nikabakiwa na whatsapp ya playstore na insta yangu ndoo nafuu
 
Kuna wale wa gb whatsapp anatoa online status, anatoa last seen au anaset last seen ya nyuma waweza sema hayuko wassap ametoa blue tick na zile tick mbili inakua moja hata zile story anaview lakini we huoni kama anaview
Bora mi nshajizeekea. Hapa hata sijui unaongelea kitu gani.

Siku nyingi sijapata salamu wala LIKES zako... Nimwachie Mungu?
 
Back
Top Bottom