Kwanini umeondoa LAST-SEEN kwenye whatsapp yako??

Shida zote za nini hahahhaha nilikua natumia hiyo nikadownload na gbinstaram niweze download zile clips nazipenda insta sim ilikua inaniletea ads sjui zinakotokea ilibidi nifute zile nikabakiwa na whatsapp ya playstore na insta yangu ndoo nafuu
Kwa hiyo zile Adds zinasababishwa na uwepo na GB WhatsApp?
 
Kwa hiyo zile Adds zinasababishwa na uwepo na GB WhatsApp?
Yani sjui ni hiyo au gbinsta sababu kabla sjaweka hakukua na ads yan kuziweka sim inajisikilizia ads znakuja tu sikutaka shida
 
Hahahaha babe ukitoa last seen huoni ya mtu yoyote ni kama wote contacts zako zimekua zimetoa last seen pia babe
kwamba ukiweka last seen off huna tena option πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ jitetee tu ila huo ndiyo kweli
 
kwamba ukiweka last seen off huna tena option πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ jitetee tu ila huo ndiyo kweli
Option unaweza kuirudisha tu na s kua utaweza ona ya mtu mwengine labda uirudishe babe sijitetei jamani
 
mimi ipo ila inasema last seen yangu january 17 wakati hata sasa nipo online... all thanks to WhatsApp GB App πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…