Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kwa hiyo zile Adds zinasababishwa na uwepo na GB WhatsApp?Shida zote za nini hahahhaha nilikua natumia hiyo nikadownload na gbinstaram niweze download zile clips nazipenda insta sim ilikua inaniletea ads sjui zinakotokea ilibidi nifute zile nikabakiwa na whatsapp ya playstore na insta yangu ndoo nafuu