Kwanini umeondoa LAST-SEEN kwenye whatsapp yako??

Wanawake ndio wanapaswa kuondoa last seen
By the way hua nasikitishwa na member humu wanaoweka avatar za kike afu ni wanaume
 
Unawekaje hiyo?

ukiwa unatumia App ya Whatsapp GB hii haipati playstore unadownload kutoka web direct.... kuna sehemu ya kuhide online status ukishahide hyo hautoonekana online tena bali itabaki kwenye last seen ya mda huo ulioset mpaka siku ukibadilisha tena
 
Kuna wale wa gb whatsapp anatoa online status, anatoa last seen au anaset last seen ya nyuma waweza sema hayuko wassap ametoa blue tick na zile tick mbili inakua moja hata zile story anaview lakini we huoni kama anaview
Whatsapp Gb oyeeee
 
Wewe kaka najua upo hapa jf kwanini umeondoa blue tick haujui kiasi gani huwa naboreka ndo maana nimesusa kujibu sms zako.
Na wewe umezidi kumsumbua pm ukiona hivyo keshakuchoka pole
 
Kwa bahati mbaya mimi inst watsap imo na fb situmii hiyo mitandao imenishinda..
Hapa ni mwendo wa twiter, telegrum na jf ndo habari ya mujini kwangu
 
Mbona mnajitesa vijana ?
Mimi sifichi chochote km mtu sitaki kumjibu nakausha tu
Mbona simple
 
Unakuta mtu anakuona hewani hata usiku wa manane hana hata cha kukuambia utasikia,hlw hulali ww.Nikaamua kuifutilia mbali last seen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…