Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,165
- 16,791
me nasubiria tag tuNgoja niamini tu maana kazi yangu ni utazamaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
me nasubiria tag tuNgoja niamini tu maana kazi yangu ni utazamaji
sasa je?? we endelea kujiteteaOption unaweza kuirudisha tu na s kua utaweza ona ya mtu mwengine labda uirudishe babe sijitetei jamani
Kwa hiyo unepata la kunisemea siosasa je?? we endelea kujitetea
hapana sijasema hivyoKwa hiyo unepata la kunisemea sio
We hayahapana sijasema hivyo
Unawekaje hiyo?mimi ipo ila inasema last seen yangu january 17 wakati hata sasa nipo online... all thanks to WhatsApp GB App [emoji23][emoji23][emoji23]
Unawekaje hiyo?
Niko poa shiro!! Shukran kama mzima![emoji23][emoji23][emoji23]Hapana kasmart
Poa sana za kwako?
Whatsapp Gb oyeeeeKuna wale wa gb whatsapp anatoa online status, anatoa last seen au anaset last seen ya nyuma waweza sema hayuko wassap ametoa blue tick na zile tick mbili inakua moja hata zile story anaview lakini we huoni kama anaview
Na wewe umezidi kumsumbua pm ukiona hivyo keshakuchoka poleWewe kaka najua upo hapa jf kwanini umeondoa blue tick haujui kiasi gani huwa naboreka ndo maana nimesusa kujibu sms zako.
Kwa bahati mbaya mimi inst watsap imo na fb situmii hiyo mitandao imenishinda..Nia yangu sio kuingilia maisha ya mtu, mimj na wasomaji wengine tunataka tu kujua kwanini umeiondoa LAST- SEEN yako whatsapp??
Mimi binafsi sijaiondoa, na wala sioni sababu ya kuiondoa.
Je, wewe umeiondoa au ipo.. Kama umeiondoa ni kwanini?
Kama ipo sihitaji kujua sababu[emoji57]
hahaha hoyeeee mmeweza na kuiba status za watu wakipostWhatsapp Gb oyeeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio maana wasapu sioni kama mpo online lakini huku mnaonekana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]