Kwanini umeondoa LAST-SEEN kwenye whatsapp yako??

Kwanini umeondoa LAST-SEEN kwenye whatsapp yako??

Muda mwingine hua nakua macho usiku mwingi mambo ya kujulikana saa tisa nilikua online nani anataka nikaamua nitoe tu
watu wengi wanaofunga last seen wao ndiyo wa kwanza kwenda kuangalia za watu

nimejisikia kukwot post yako babe
 
Mimi nimeweka option ya kuzuia wale wote wasio na namba yangu kuna details zangu za watsap.
 
Back
Top Bottom