Kwanini Umoja wa Afrika hautoi neno kuhusu yatokeayo kati ya Ukraine na Urusi?

Kwanini Umoja wa Afrika hautoi neno kuhusu yatokeayo kati ya Ukraine na Urusi?

Nchi nyingi za Afrika ziliamua kutopiga kura azimio la kuilaumu Russia katika UN. AU haitaki kufungamana na upande wowote. Vile vile mwanzo wa vita Ukraine walikosea kuwaondoa Waafrika kutoka ndani ya treni zinazohamisha watu nchi za jirani. Wakajaza wazungu na hata mbwa nafasi iliyopatikana.
 
Haya yote yanatokea sababu tunatafuta kumpedezesha Big Boss - USA maana ndo alietabiliwa kwenye Biblia kama mnyama wa pili. Soma Ufunuo 13:1-5 ndo aliefanana na mwana kondoo alafu badae anabadirika na kunena kama joka. Ndie atakaelazimisha dunia kuabudu mnyama wa kwanza kwa kupitisha sheria itakayolazimisha Dunia nzima kuabudu mnyama wa kwanza. Itapitisha hukumu ya kifo kama akiona watu duniani wanasita kufuata masharti yake. This is very serious na hizi ndo zitakuwa siku za mwisho mukiona haya yanatokea.Huyo mnyama wa kwanza mutafute mwenyewe. Keep watching!!! A new world order is coming. Ufunuo 14:9 inasema wote watakaokubali kumwabudu huyo mnyama hawawezi kwenda mbinguni watapokea tu adhabu kutoka kwa Mungu mwenyewe.
 
Haya yote yanatokea sababu tunatafuta kumpedezesha BIg Boss - USA maana ndo alietabiriwa kwenye Biblia kama mnyama wa pili. Soma Ufunuo 13:1-5 ndo aliefanana na mwana kondoo alafu badae anabadirika na kunena kama joka. Ndie atakaelazimisha dunia kuabudu mnyama wa kwanza kwa kupitisha sheria itakayolazimisha Dunia nzima kuabudu mnyama wa kwanza. Itapitisha hukumu ya kifo kama akiona watu duniani wanasita kufuata masharti yake. This is very serious na hizi ndo zitakuwa siku za mwisho mukiona haya yanatokea.Huyo mnyama wa kwanza mutafute mwenyewe. Keep watching!!! A new world order is coming. Ufunuo 14:9 inasema wote watakaokubali kumwabudu huyo mnyama hawawezi kwenda mbinguni watapokea tu adhabu kutoka kwa Mungu mwenyewe.

Hii imetokea kwasababu bado ni tegemezi. Wa pande zote. Russia na USA. Kuji align wazi wazi na upande wowote ule ni kwamba unakata ties na upande mmoja
 
Haya yote yanatokea sababu tunatafuta kumpedezesha BIg Boss - USA maana ndo alietabiriwa kwenye Biblia kama mnyama wa pili. Soma Ufunuo 13:1-5 ndo aliefanana na mwana kondoo alafu badae anabadirika na kunena kama joka. Ndie atakaelazimisha dunia kuabudu mnyama wa kwanza kwa kupitisha sheria itakayolazimisha Dunia nzima kuabudu mnyama wa kwanza. Itapitisha hukumu ya kifo kama akiona watu duniani wanasita kufuata masharti yake. This is very serious na hizi ndo zitakuwa siku za mwisho mukiona haya yanatokea.Huyo mnyama wa kwanza mutafute mwenyewe. Keep watching!!! A new world order is coming. Ufunuo 14:9 inasema wote watakaokubali kumwabudu huyo mnyama hawawezi kwenda mbinguni watapokea tu adhabu kutoka kwa Mungu mwenyewe.

Ninyi ndiyo manabii wa uwongo. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Biblia haisomwi na kutafsiriwa kama kitabu cha hadithi za kale.
 
Kwanini AU haitoi neno lolote kuhusu yatokeayo kati ya Ukraine na Russia?

Je, haisikilizwi?
Je, haioni umuhimu?
Je, hayawahusu?
Je, ni kawaida kwao?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sie hatuna kitu,sie Afrika ni Sawa na single mother,huwezi jua kula yako kesho itatoka wapi,huwezi kutukana "wanaume"(ulaya,Russia,India,china).
Afrika nzima hatuifikii Israel,India,Pakistan,kwa nguvu za kiuchumi,kidiplomasia
 
Kwanini AU haitoi neno lolote kuhusu yatokeayo kati ya Ukraine na Russia?

Je, haisikilizwi?
Je, haioni umuhimu?
Je, hayawahusu?
Je, ni kawaida kwao?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mzee hii Au ya sasa ni kiziwi na bubu maana kipindi cha OAU kina Nyerere wangesema jambo.
 
Africa yunashida zetu,waache wachapane.Africa inapaswa kujadili namna ya kupata mafuta ya Bei rahisi toka Russia
 
Africa Union sana sana ikimee mapinduzi ya kijeshi ya Burkina Faso, Mali, Guinea nk.
 
Kwanini AU haitoi neno lolote kuhusu yatokeayo kati ya Ukraine na Russia?

Je, haisikilizwi?
Je, haioni umuhimu?
Je, hayawahusu?
Je, ni kawaida kwao?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ni bora wabaki kuwa Nchi zisizofungamana na upande wowote !! Maana hata wakiongea they won’t make any changes whatsoever !! Wenye kuianzisha ndio wenye uwezo wa kuimaliza !!
 
Back
Top Bottom