Kwanini Umoja wa Afrika hautoi neno kuhusu yatokeayo kati ya Ukraine na Urusi?

Nchi nyingi za Afrika ziliamua kutopiga kura azimio la kuilaumu Russia katika UN. AU haitaki kufungamana na upande wowote. Vile vile mwanzo wa vita Ukraine walikosea kuwaondoa Waafrika kutoka ndani ya treni zinazohamisha watu nchi za jirani. Wakajaza wazungu na hata mbwa nafasi iliyopatikana.
Ukraine = mchuma janga hula na wakwao !!
 
Stop supplying arms to Ukraine vita vitaisha haraka sana ! Keep on supplying arms to Ukraine vita vitaendelea mpaka vita vya Nyuklia !!
Kwa hiyo unataka kyiv ianguke mikononi mwa shetani Putin sio?...
Kuvamia nchi ya mtu kisa tu wewe una nguvu haikubaliki....
Wacha inyeshe tujue panapovuja....
 
Sisi huku tunazihofia hizo nyuklia zao tu !!
 
Kwa hiyo unataka kyiv ianguke mikononi mwa shetani Putin sio?...
Kuvamia nchi ya mtu kisa tu wewe una nguvu haikubaliki....
Wacha inyeshe tujue panapovuja....
Marekani na NATO walishaivamia Iraki mpaka wakamkamata Rais wa Nchi hakuna mtu alienda kuwasaidia wairaki ! Wakaenda tena kuivamia Libya wakamkamata Rais wa Libya hakuna mtu aliyekwenda kuisaidia Libya ! Wakaenda tena kuivamia Afghanistan na kuiondoa serikali na wakaiweka serikali yao! Hakuna mtu yeyote aliyeingilia kati ule ugomvi !! Mpaka hapo unaonaje ?? Mrusi amefanya mara moja tu mbona zogo limekuwa kubwa sana ??!!
 
Wengine hawapaswi kufanya hicho ni yeye tu ndo ana ruhusa ya kufanya!!!
 
Sisi tupo upande wa Mungu!!

Halafu kutokana na kuwa neutral bas us atakata misaada Ndio màana matozo na Bima ya AFYA imeletwa kulipa Ili kufidia misaada ya WHO Pale america itakapo sirisha fedha kwenda WHO!!

TUFUNGE MKANDA!!
 
Kwanini AU haitoi neno lolote kuhusu yatokeayo kati ya Ukraine na Russia?

Je, haisikilizwi?
Je, haioni umuhimu?
Je, hayawahusu?
Je, ni kawaida kwao?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ulisikia wapi mawazo ya.......... Yakasikizwa?????

Tupe experience kwenye vikao vya ukoo wenu, au Huwa huudhurii????
 
Kwanini AU haitoi neno lolote kuhusu yatokeayo kati ya Ukraine na Russia?

Je, haisikilizwi?
Je, haioni umuhimu?
Je, hayawahusu?
Je, ni kawaida kwao?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Africa ni bara lisilojitambua, hakuna nchi Africa inaweza kujiendesha yenyewe bila misaada toka nje, yaani sisi waafrica hapa Duniani ni sawa na mtu asiyeishi kwa shemeji - hata chumvi ikizidi kwenye mboga utavumilia huna namna, ukinyenyua domo tu utaambiwa kamshurutishe mkeo kwako bata wewee !!

Umaskini wa kujitakia wenyewe ni mbaya mno.
 
Sisi tupo upande wa Mungu!!

Halafu kutokana na kuwa neutral bas us atakata misaada Ndio màana matozo na Bima ya AFYA imeletwa kulipa Ili kufidia misaada ya WHO Pale america itakapo sirisha fedha kwenda WHO!!

TUFUNGE MKANDA!!
Yawezekana Mungu pia kashatuchoka !! maana tunapitia magumu - Mvua yenyewe imegoma kunyesha mwaka wa 3 huu sasa.
 
Africa ni bara lisilojitambua, hakuna nchi Africa inaweza kujiendesha yenyewe bila misaada toka nje, yaani sisi waafrica hapa Duniani ni sawa na mtu asiyeishi kwa shemeji - hata chumvi ikizidi kwenye mboga utavumilia huna namna, ukinyenyua domo tu utaambiwa kamshurutishe mkeo kwako bata wewee !!

Umaskini wa kujitakia wenyewe ni mbaya mno.
Halafu huwa tunajimwambay kwa vitu vya ajabu ajabu sana mpaka tunaona aibu kuvikumbushia !!
 
Back
Top Bottom