Unatutafutia balaa tuje tuchapwe viboko hawana haja ya kuja na makomboraKwanini AU haitoi neno lolote kuhusu yatokeayo kati ya Ukraine na Russia?
Je, haisikilizwi?
Je, haioni umuhimu?
Je, hayawahusu?
Je, ni kawaida kwao?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kwanini AU haitoi neno lolote kuhusu yatokeayo kati ya Ukraine na Russia?
Je, haisikilizwi?
Je, haioni umuhimu?
Je, hayawahusu?
Je, ni kawaida kwao?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Haya yote yanatokea sababu tunatafuta kumpedezesha BIg Boss - USA maana ndo alietabiriwa kwenye Biblia kama mnyama wa pili. Soma Ufunuo 13:1-5 ndo aliefanana na mwana kondoo alafu badae anabadirika na kunena kama joka. Ndie atakaelazimisha dunia kuabudu mnyama wa kwanza kwa kupitisha sheria itakayolazimisha Dunia nzima kuabudu mnyama wa kwanza. Itapitisha hukumu ya kifo kama akiona watu duniani wanasita kufuata masharti yake. This is very serious na hizi ndo zitakuwa siku za mwisho mukiona haya yanatokea.Huyo mnyama wa kwanza mutafute mwenyewe. Keep watching!!! A new world order is coming. Ufunuo 14:9 inasema wote watakaokubali kumwabudu huyo mnyama hawawezi kwenda mbinguni watapokea tu adhabu kutoka kwa Mungu mwenyewe.

Sie hatuna kitu,sie Afrika ni Sawa na single mother,huwezi jua kula yako kesho itatoka wapi,huwezi kutukana "wanaume"(ulaya,Russia,India,china).Kwanini AU haitoi neno lolote kuhusu yatokeayo kati ya Ukraine na Russia?
Je, haisikilizwi?
Je, haioni umuhimu?
Je, hayawahusu?
Je, ni kawaida kwao?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mzee hii Au ya sasa ni kiziwi na bubu maana kipindi cha OAU kina Nyerere wangesema jambo.Kwanini AU haitoi neno lolote kuhusu yatokeayo kati ya Ukraine na Russia?
Je, haisikilizwi?
Je, haioni umuhimu?
Je, hayawahusu?
Je, ni kawaida kwao?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wanaangamizwa kwa kukosa maarifaNinyi ndiyo manabii wa uwongo. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Biblia haisomwi na kutafsiriwa kama kitabu cha hadithi za kale.
Ni bora wabaki kuwa Nchi zisizofungamana na upande wowote !! Maana hata wakiongea they won’t make any changes whatsoever !! Wenye kuianzisha ndio wenye uwezo wa kuimaliza !!Kwanini AU haitoi neno lolote kuhusu yatokeayo kati ya Ukraine na Russia?
Je, haisikilizwi?
Je, haioni umuhimu?
Je, hayawahusu?
Je, ni kawaida kwao?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app