Nazana umekimbilia kujibu bila kutafakari.AU siyo nchi. China ni nchi na India ni nchi kama zimeamua kusaidia Wananchi wao ni kwamba Wana uwezo wa kupambana na mataifa yaliyoiwekea vikwazo Russia, hivyo wewe ongelea Tanzania ambayo ni nchi kama china na India usiongelee muungano ambao hata alshabab (Somalia) ni mwanachama wa AU.
Sababu unaijua halafu unajitoa ufahamu, China Kuna rais mmoja na India Kuna rais mmoja. Sasa huyo wa AU wa kuwasemea Marais wote anatoka wapi? Kila nchi Africa Ina beberu lake linaloitawala.Nazana umekimbilia kujibu bila kutafakari.
India inawatu wengi 1.3 billion.
China inawatu wengi pia 1.4 billion.
Africa pia inakaribia idadi hiyo. Ndio maana AU ikiamua hata Ulaya lazima wasikilize. Kwa sababu ya wingi wa watu kwa pamoja. AU Ikiamua kushikamana inashinda, Ila kama ni nchi Moja hatutatoboa.
MmhNazana umekimbilia kujibu bila kutafakari.
India inawatu wengi 1.3 billion.
China inawatu wengi pia 1.4 billion.
Africa pia inakaribia idadi hiyo. Ndio maana AU ikiamua hata Ulaya lazima wasikilize. Kwa sababu ya wingi wa watu kwa pamoja. AU Ikiamua kushikamana inashinda, Ila kama ni nchi Moja hatutatoboa.
Unauzungumzia umoja wa Afrika ambao hata kujenga ofisi zao za makao makuu wamejengewa na wachina. Emu ongea kingine ila sio mbwa kachoka kama AUWadau nawaza sana juu ya huu mfumko wa bei, hasa bei za Mafuta. Ukizingatia China na India wao wanapambana ili kupunguza gharama za wananchi wao kwa kukataa matakwa ya Nchi za Ulaya juu ya Urusi, je kwanini AU nao wasijipange vivyo hivyo? Wanunue ngano na mafuta kwa mrusi bila kufuata masharti ya Marekani na Ulaya?
AU ni ya mchongo ama?