Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Umoja wa mataifa UN mara nyingi umeomba vita baina ya Urusi na Ukraine visitishwe haraka.Papo hapo kila leo Marekani na Uiengereza wanatoa ahadi za wazi wazi za kupeleka silaha kwa Ukraine ili iendeleze vita vyake na Urusi kwa niaba yao. Jee UN hawasikii au wanasubiri nini kukemea vitendo hivyo vinavyoweza kupelekea vita vibaya vya nyuklia.