Kwanini UN haikemei kauli na vitendo vya kichokozi vya US na UK kwa Urusi

Wakati akina ANC, SWAPO, ZANU, ZAPU, MPLA, FNLA, UNITA na FRELIMO wanasaidiwa kijeshi enzi hizo hawakusema UN walaani waliokuwa wakiwapa misaada, sasa kwa nini hao ndio leo walaaniwe kwa kumsaidia aliyevamiwa??

Unafiki sio mzuri na ni dhambi mbele za Mungu, acheni Ukraine asaidiwe kwani anajihami dhidi ya utaahira wa warusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…