General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Mungu yupo kwa ushahidi huu wakimazingira uwepo wa mbingu na ardhi, usiku na mchana, mke na mume, majini na nnchi kavu, wanyama na mimea, ndege na wadudu, wanaadam na majini. Ushahid Surat n'nabai (78:8) m/mungu anasema "na nimekuumbeni kwa jozi" hakika ni ushahidi tosha kuwa sote tumetoka kwa Allah.Unajua wengi tumekua na kukuta utaratibu ambao umewekwa na walitutangulia.
Wengi tumedumisha imani ambazo tumezikuta mwenye jamii yetu.
Hivi ulishawahi jiuliza kwanini www ni dini hiyo unayoiamini?
Je unahisi km ungezaliwa dini nyingine ungebadili?
Je mpaka sasa unaamini dini yako ndio sahihi? Kwanini?
Je Kitu gani hasa kinakufanya uamini Mungu yupo?
Cc Kiranga, Al-Watan, Apollo, ONTARIO @jimeena
kuwaza ni kosa!Mungu anawaona jinsi mnavyo waza
!!!!!Kwa sababu mimi nipo.
Viumbe wengine!!!kina nani hao? Me najua dunia ndio sayari inayowezesha viumbe kuishi sababu kuna uhai. Hao viumbe wengine mi siwajui zaidi ya kusoma dhana za kufikirika, Hivyo swali lako ni imagination na unaweza kujijibu kwa kuimagine!!!!!
hivi kwamfano binadamu akituma chombo anga za mbali sana hlf asiweke kitu chochote kitakachotambulisha kuwa hicho kifaa kimetengenezwa na binadamu kwa bahati nzuri au mbaya kifaa hicho kikashikwa na viumbe wengine huko anga za mbali je,hao viumbe watajua kuwa kifaa hicho kimetengenezwa na binadamu..?
unaelewa maana ya neno "kwamfano"...?Viumbe wengine!!!kina nani hao? Me najua dunia ndio sayari inayowezesha viumbe kuishi sababu kuna uhai. Hao viumbe wengine mi siwajui zaidi ya kusoma dhana za kufikirika, Hivyo swali lako ni imagination na unaweza kujijibu kwa kuimagine
Naelewa maana yake. Mfano uliouyumia hauna uhalisia na maisha halisi, umeegemea kwenye fikra zako! Jaribu kuleta mfano mwingine wenye uhalisia mkuuunaelewa maana ya neno "kwamfano"...?
ha ha ha..Naelewa maana yake. Mfano uliouyumia hauna uhalisia na maisha halisi, umeegemea kwenye fikra zako! Jaribu kuleta mfano mwingine wenye uhalisia mkuu