mkuu kwani we ushafaya yote ambayo unaweza kuyafanya?Mungu angekuwepo kusengukuwa na haja ya kufanya utafiti wowote ili tumjue, kwani yeye ni muweza wa yote na ana ujuzi wote...
Hvo tungemjua tu automatically....
Post sent using JamiiForums mobile app
Mungu yupo tu, kutokujua kwako kuwa hayupo haimaanishi kuwa hayupo.Unajua wengi tumekua na kukuta utaratibu ambao umewekwa na walitutangulia.
Wengi tumedumisha imani ambazo tumezikuta mwenye jamii yetu.
Hivi ulishawahi jiuliza kwanini www ni dini hiyo unayoiamini?
Je unahisi km ungezaliwa dini nyingine ungebadili?
Je mpaka sasa unaamini dini yako ndio sahihi? Kwanini?
Je Kitu gani hasa kinakufanya uamini Mungu yupo?
Cc Kiranga, Al-Watan, Apollo, ONTARIO Jimena
Safi kabisa huu ukweli ni mchungu kwa baadhi ya watuUkiangalia jinsi mambo yalivyo kwa undani,kuhusu miti,wadudu,wanyama,ndege,binadamu,bahari,anga,upepo,madini nk...utagundua kua Mungu hayupo kabisa
Kama Mungu yupo inabidi aseme yeye chanzo chake ni nini?
Mana mpaka leo...watu wa dini hawajui Mungu/Allah alitoka wapi,lakini pia wanasayansi nao hawajui chanzo cha sayari na nyota na viumbe vingine.
Kwa ufupi mpaka sasa hakuna taarifa sahihi kuhusu Mungu na Dunia
Hivi vitabu ukivisoma ukiwa open mind utaona mengi yakushangaza!!According to this bible verse, God is the source of all evil right?!
Kumbe Shetani anasingiziwa tu [emoji1] [emoji1]
Post sent using JamiiForums mobile app
Sasa hapo kuna ugumu gani kwenye hiyo aya.Hivi vitabu ukivisoma ukiwa open mind utaona mengi yakushangaza!!
Ni hatua ngumu sana kama umekulia katika vitabu hivi toka utotoni kuvitazama kwa fikra huru.
Na wewe ulimjuaje Mungu wakati mmeandika kuwa mungu hachunguzikiUnajua haipendezi kuandika mambo kwa hisia tu.
Uliisha wahi kufika hiyo milango isiyofunguliwa?ulijuaje kama ina historia za dini za zamani wakati hiyo milango haifunguliwi??
We unafikili ni kwanini ulizaliwa na je ulizaliwa ili ufanye nini?ha ha ha..
basi ngoja nilete swali moja kwa moja.. umesema Mungu yupo kwasababu wewe upo sasa nani anafanya Mungu na wewe kuwepo..? na kuwepo kwako kunadhihirisha vipi kuwa mungu yupo..?
na kuwepo kwako yeye anapata faida gani..?
Naunga mkono hojaKwanza hakuna afanyae Mungu kuwepo, Mungu alikuepo, yupo na ataendelea kuwepo. Mungu ndio kanifanya mimi niwepo kupitia kuumbwa kwa Adam na Eva vikapita vizazi na vizazi mpaka mi nikazaliwa, Mungu alimuumba mwanadamu ili amtumkie na amuabudu na kuvitunza vitu vyote vya duniani ili kuutukuza utukufu wa Mungu. Katika kumuuabudu na kumtumikia Mungu tunapata faida nyingi sana hata hazihesabiki , kuhusu Mungu kupata faida kwa kweli swali liko juu ya uwezo wangu, labda umuulize mwenyewe kupitia sala atakujibu
Kweli mkuu hata mim naamin kua kuna muda shetani anamuomba mungu ili mambo yasiende komboSasa hapo kuna ugumu gani kwenye hiyo aya.
Kwa wasio mwamini Mungu kama yupo, na hiyo aya haipo vilevile, haina maana yoyote.
Kwa wanaoamini Mungu wanaelewa tena kwa wepesi kabisa kuwa Mungu ndiye chanzo cha kila kitu.
Huyo Shetanini aliumbwa na Mungu.
Mungu anauwezo wa kumfanyia ubaya mtu yoyote pamoja na Shetani mwenyewe.
Kabla ya kukufanyia ubaya Mungu huwa anakueleza mapema kuwa ukifanya hivi utaadhibiwa hivi.
Adam alishatahadharishwa kuwa
"walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika"
Mwanzo 2 : 17.
Mungu alimkataza huku akiwa amempa matunda mengi ya kula.
Baadae Adamu akala lile tunda sasa kilichofuata ni adhabu ya kifo.
Hapa nani wa kulaumiwa ?
Mungu alimruhusu Shetani kumpa magonjwa Ayubu huku alisha mfundisha Ayubu kuto mkufuru Mungu.
Hivyo ni Mungu ndiye aliyeruhusu Ayubu kujalibiwa.
Ni kweli Shetani siyo chanzo cha ubaya kwani hata Shetani mwenyewe anasubiri kufanyiwa ubaya na Mungu kwa kuunguzwa kabisa siku za hukumu ya kiyama.
Mungu aliiharibu kwa gharika dunia ya Nuhu na pia akaichoma Sodoma na Gomola huu ni ubaya ambao hata Shetani hauwezi kuufanya kwani hajaruhusiwa na Mungu kuufanya.
Mungu alifanya hivyo baada ya watu wa huko kufanya uovu wa kupindukia na hivyo kuadhibiwa na Mungu.
Lakini tunasoma Nuhu na Lutu ambao walikuwa wanaishi kwa kufuata maagizo ya Mungu waliokolewa na Mungu mwenyewe.
Shetani alipewa uhuru wa kuwashawishi wanadamu kuacha kuzitii amri za Mungu kwakuwa Mungu ndiye Muasisi wa Utawala wa Democrasia akamruhusu wakati amesha waeleza watu kuwa wasimtii Shetani.
Pia Mungu alisha wapa uwezo wanadamu wa kumkataa Shetani, na amewatahadharisha watu ambao kwa hiari yao wata zikataa amri Mungi kuwa mwisho wa siku atawateketeza kwa Moto pamoja na Shetani Mwenyewe.
Sisi binadamu kwakuwa ni dhaifu hatuna jinsi zaidi ya kuamua hatima yetu kwa matendo yetu wenyewe.
Tungekuwa na nguvu tungetenda dhambi na mwisho wa siku tungekataa kwenda motoni.
Lakini kwakuwa sisi hatuna nguvu ya kuweza kuyakataa maamuzi ya Mungu,
Na kwakuwa tunapenda kuishi milele kama Mungu alivyotuahidi basi TUNALAZIMIKA kutenda mema ya Mungu ili tuendelee kuishi maisha ya milele.
Kwahiyo hakuna ukakasi hapo
Wema wote na Ubaya wote ni Mungu ndiye anayeruhusu utokee.
Ni sawa na mtu akikuambia ukinywa hii sumu hakika utakufa.
Kama utakunywa na ukafa utamlaumu aliyekuonya isinywe ?
Kama niyeye aliyeitengeneza hiyo sumu hapo mbaya ni nani sasa?
Kama ndio au siyo mimi sijui.
Mwanadamu umepewa maarifa ili uweze kuchagua, mema na mabaya ni kipi anachotaka kimtokee.
Je
1. Unataka kutenda mema ili uishi maisha ya milele mbingumi baada ya kifo ?
2.Unataka kutenda mambo aliyokatazwa na Mungu ili Mungu akuue kabisa kwa kukuchoma moto baada ya kifo chako cha mwili ?
Ni juu yako kuchagua.
Nawasalimu wote mnaotia mashaka juu ya uwepo wa Mungu.
Ndugu zangu Mungu yupo na anataka tizitii amri zake na hatuna namna kwani
"Hatuna Pa Kukimbilia Asitukamate"
Kwa sasa ni hiari yetu kuamua kwamba tunatambua uwepo wake au la.
Kwamba tunazifuata amri zake au la.
Ndiyo maoni yangu
Che mittoga.
Hilo haliwezekani.Kweli mkuu hata mim naamin kua kuna muda shetani anamuomba mungu ili mambo yasiende kombo
Sent using Jamii Forums mobile app
Very logicalJiuliz kwa ufup una akili?na je uliwah kuiona akili ama kuigusa km hpn kwann unaamin km unaakil bc ndivy ilivy hat ktk kumuamin mung yup jp hujawah kumuon?
Yupo wapi mkuu?Kwanza hakuna afanyae Mungu kuwepo, Mungu alikuepo, yupo na ataendelea kuwepo. Mungu ndio kanifanya mimi niwepo kupitia kuumbwa kwa Adam na Eva vikapita vizazi na vizazi mpaka mi nikazaliwa, Mungu alimuumba mwanadamu ili amtumkie na amuabudu na kuvitunza vitu vyote vya duniani ili kuutukuza utukufu wa Mungu. Katika kumuuabudu na kumtumikia Mungu tunapata faida nyingi sana hata hazihesabiki , kuhusu Mungu kupata faida kwa kweli swali liko juu ya uwezo wangu, labda umuulize mwenyewe kupitia sala atakujibu
Dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu.Unajua wengi tumekua na kukuta utaratibu ambao umewekwa na walitutangulia.
Wengi tumedumisha imani ambazo tumezikuta mwenye jamii yetu.
Hivi ulishawahi jiuliza kwanini www ni dini hiyo unayoiamini?
Je unahisi km ungezaliwa dini nyingine ungebadili?
Je mpaka sasa unaamini dini yako ndio sahihi? Kwanini?
Je Kitu gani hasa kinakufanya uamini Mungu yupo?
Cc Kiranga, Al-Watan, Apollo, ONTARIO Jimena