Kwanini Unaamini Mungu yupo?

maswali hayo ni sawa na kujiuliza asingekuepo Mungu ingekuwaje.....?

Tufanye kilichotuleta duniani. (fullstop)
 
Jiulize kuwa we unazaliwa halafu unakufa mbona kama binadamu ana uwezo c angezuia kifo hivyo sasa amini kuwa mungu yupo Leo na hata milele.
 
Teh teh teh...vitabu vyoye vimeaandikwa na wanadamu kama wewe
 
Wengi tupo sababu Wakoloni waliweza kubadili misimamo ya mababu zetu kuhusu imani. Tena wengine kwa utumwa wa akili kwa vile walikuwa weupe wenye vitu vya kisasa zaidi tukawaona kama wanatoka mbinguni, tukaanza kuvaa kama wao, wengine wakajikomba ili wale makombo na mapochopocho .Akili zikatekwa tukawaabudu na dini zao tukaona ndio za maana.

Ukweli ni huu: Dini uliyonayo ni matokeo ya historia ya utumwa. Kwa vile wazazi wako wameakufundishia toka ukiwa kachanga ni vigumu sana kuiacha imani ya wazazi wako kwani huna knowledge nyingine. Zaidi utaitetea hiyo unayoijua.
 
Wewe kwanini uamini kuwa Mungu hayupo?

Kwako dini ni nini?

Kuna uhusiano gani kati ya dini na Mungu unaye amini kuwa hayupo?

Imani tulizodumisha ni zipi? Imani ni nini?

Tuanzie hapo.
 
Tatizo, mnapomjibu kwa reference ya vitabu vyenu ambavyo yeye anaona ni hadithi za wajanja hamtamshawishi kabisa. Tafuta njia nyingine!
 
Mungu huyu omnipotent, omniscient and omnibenevolent hayupo.

Dunia inam contradict uwepo wake.
 
Lakini atakapokuja Mwana wa adam,
je ataikuta imani duniani?
 
Mwili wa binadamu na ufanyaji kazi wake.kama utakuwa na akili na kuwaza bhas utaamini mungu yupo.anza kukifikiria kiungo kimoja kimoja.
 
Una uhakika gani kwamba vitu ulivyovitaja ni Mungu aliyeviumba?
Hapana sio Mungu kaviumba.vimeibuka tu kusikojulikana.ata wewe hakuna aliyekufanya ukawepo,umeibuka tu kusikojulikana.hata magari tunayoyaona hakuna aliyeyatengeneza,yameibuka tu kusikojulikana,hata nyumba tunazoziona hakuna aliyezijenga bali zimeibuka tu kusikojulikana.Ukipata majibu ya wapi vimetoka hivyo vitu utajua na ivyo vingine vilipotoka.
 
Actually ni kinyume kabisa. Ukiangalia creatures lazima utaona kuwa kuna creator. Sababu viumbe haviwezi kuwepo bila muumbaji. Leo hii ukitembea msituni ghafla ukaona picha imechorwa pahala, lazima utasema kuwa kuna mchoraji under no circumstance utasema kuwa hiyo picha imetokea tu under the influemce of evolution which took place over billions of years (kama evolutionists wanavyoargue).

Kila kitu, milima, viumbe hai, visivyohai, mpangilio wa sayari, mzunguko wa dunia etc proves that there is an intelligent Designer.
 
Mtu bila Mungu ni Atheist, Mungu bila mtu hakuna kitu.

Kwahiyo Mungu yupo kwa sababu watu wapo na siyo kinyume chake.

Mungu ni fikra za kibinadamu na siyo kitu halisi.
Denying the truth doesn't change the facts. Biandamu tupo sababu Mungu yupo and not the other way round.
 
Denying the truth doesn't change the facts. Biandamu tupo sababu Mungu yupo and not the other way round.
If you could urge with religious people, there would be no religion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…