Ni mahali pekee unapoweza kupata habari za uhakika asilimia100,
Vyanzo vingi vya habari hapa ni watu ambao kwa namna moja au nyingine ameiona habari kwa macho, hkuna udaku jf
Memba wengi wa hapa ni watu wenye uelewa mkubw wa mambo.
Umbea upo kwenye mambo ya mzaha ila kwa ishu nyeti na zenye kugusa maisha ya watu hakuna udakuUmbea Jf haupo?
au nimekuelewa vibaya.
Umbea upo kwenye mambo ya mzaha ila kwa ishu nyeti na zenye kugusa maisha ya watu hakuna udaku
Jf hata kama sina data Mimi nahabarikaBinafsi ndo sehemu maalumu yakujua IQ za watanzania,ndo sehemu maalumu yakujua umbea wa serikalini,michezo na burudani,sehemu ya kujifunza majibu ovyo na chaya.
Ndo sehemu ya kujifunza Tanzania ni nchi ya aina
Ndio chombo changu cha habari kabla sijaenda buguruni kujumua bidhaa za gengeni lazima nifungue nini kimejili hata kama sina data.
WEWE JE?
Asante jf.