Kwanini unaipenda Jf

Kwanini unaipenda Jf

Ni mahali pekee unapoweza kupata habari za uhakika asilimia100,

Vyanzo vingi vya habari hapa ni watu ambao kwa namna moja au nyingine ameiona habari kwa macho, hkuna udaku jf

Memba wengi wa hapa ni watu wenye uelewa mkubw wa mambo.


Umbea Jf haupo?

au nimekuelewa vibaya.
 
Binafsi ndo sehemu maalumu yakujua IQ za watanzania,ndo sehemu maalumu yakujua umbea wa serikalini,michezo na burudani,sehemu ya kujifunza majibu ovyo na chaya.

Ndo sehemu ya kujifunza Tanzania ni nchi ya aina
Ndio chombo changu cha habari kabla sijaenda buguruni kujumua bidhaa za gengeni lazima nifungue nini kimejili hata kama sina data.

WEWE JE?



Asante jf.
Jf hata kama sina data Mimi nahabarika
 
Ndio forum pekee ambao naweza kupata taarifa au habari inayohusu karibu kila kitu ,kwa East Africa naweza kusema ndio forum namba moja.kupitia JF nimekutana na wataalamu wa IT na Electronic wamenisaidia kufanya right choices kwenye manunuzi alikadharika kwenye Ujenzi nimekutana na wataalamu kwenye siasa na udaku ndio usiseme !la muhimu kabisa nimeweza kujipima uwezo wangu wa kuchanganua mambo uiilinganisha na wengine especially wale wanaoitwa great thinkers .In short siwezi pitisha lisaa bila kuingia hapa unless niwe nimelala au nafanya kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom