KWA TAARIFA YAKO,UKIONA MTU AMEWAHI KUONDOKA NYUMBANI UJUE...
1.Nyumbani padogo
2.Nyumbani mpo wengi
3.Njaa imezidi au
4.Nyumbani kipato cha kutosha so kujenga nyumba ni fashen.
5.Majuaji,ujinga,usela mavi na ushamba uliopitilia
kama Yesu yupo kwa baba yake mpka leo mimi ni nani nianze kuondoka nyumbani kwetu. msipotoshe vijana washaurini wakae makwao waendeleze vyao mbona wahindi hamuwaulizi kwann wanakaa kwao mpka wazeeke. Familia maskini ndio hufukuza watoto wakishakua ila familia zenye kipato huanzisha miradi ili watt wasiteseke waendeleze miradi ya familia