Kwanini unaishi nyumbani kwenu hadi leo?

Kwanini unaishi nyumbani kwenu hadi leo?

Nobunaga

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Posts
1,205
Reaction score
5,121
Majibu ya vijana wa hovyo yanachekesha sana 😂😂
IMG_20220928_152959.jpg
IMG_20220928_153043.jpg
 
Alimradi hali wala kunywa kwako basi waache watu waishi wanapotaka tumechoka na hizi threads
 
Niache kuishi nyumbani kwetu ili nikaishi nyumbani kwao nani?
 
KWA TAARIFA YAKO,UKIONA MTU AMEWAHI KUONDOKA NYUMBANI UJUE...
1.Nyumbani padogo
2.Nyumbani mpo wengi
3.Njaa imezidi au
4.Nyumbani kipato cha kutosha so kujenga nyumba ni fashen.
5.Majuaji,ujinga,usela mavi na ushamba uliopitilia
 
kama Yesu yupo kwa baba yake mpka leo mimi ni nani nianze kuondoka nyumbani kwetu. msipotoshe vijana washaurini wakae makwao waendeleze vyao mbona wahindi hamuwaulizi kwann wanakaa kwao mpka wazeeke. Familia maskini ndio hufukuza watoto wakishakua ila familia zenye kipato huanzisha miradi ili watt wasiteseke waendeleze miradi ya familia
 
Halafu anakuja mtu anasema wabongo hakuna tunaloweza hadi upuuzi tushindwe kweli ?
 
Back
Top Bottom