Kwanini unajichora tattoos mwilini?

Kwanini unajichora tattoos mwilini?

Correction
We binti na vi thread vyako vya kujizungumzia km superstaa unanifurahishaga
Kiukweli HICHI ndicho nilitaka kuandika, nilivurugwa mtu wangu nisamehe pengine kosa sio langu
human nature
 
kwann ulijichora tattoo mwilin? umewah kujuta kwann ulijichora? mi siwez kujichra tattoos spendi naona km uchafu. hta haipendez
Me napenda sana nikimuona mwanamke amejichora totto asa zile za kwny sehemu nyeti nyeti
 
mtu anayejichorsa ni sawa na mwenye michale mwilini. Haina faida yeyote zaidi ya kujiumiza wakati wa kuchorwa an unaweza pia kupata magonjwa kama vile tetanus
 
Napenda sana tattoos. Huwa natamani kujichora ila nikiwaza ile sindano ndo basi tena.
 
WanaJF wengi yaelekea hawajajichora.

Inapendeza sana
 
Back
Top Bottom