I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Jembe kama jembe. Akiamua kukutawala utaomba poh!😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili wanazo, kuna muda ukitia sumu, anaenda na likizo, suluhisho weka pakaHivi kwanini siku hizi hawafi kwa sumu?
Wanakunywa sana majiiiHivi kwanini siku hizi hawafi kwa sumu?
Kwaiyoo muhimbili hospital ni boma la ng'ombeUkiona una panya ndani hiyo nyumba ni chafu na umejaza mkorokoro yasiyo na maana. Kiujumla hiyo sio nyumba ni store au barn la majani ya ng'ombe.
Natural born hustler, yaani maisha mapambano since day wanazaliwa. Tatizo lake achagui upi ni uwania wa nyumbani na ugenini
Sikutegemea dukuduku hili usiku huu😆😂Nuhu alifanya kosa sana kumuingiza huyu mwamba kwenye safina.
Paka wa siku hizi wazembe zembe tuAkili wanazo, kuna muda ukitia sumu, anaenda na likizo, suluhisho weka paka