Kwanini unamchukia huyu hustler? Tupe ushuda wako

Kwanini unamchukia huyu hustler? Tupe ushuda wako

Huyu ni Mfalme wa ghetto. Usiku ukifika utamuona anatembea kijoti kuingia mjengoni
 
Hawa wa siku hizi hata UOGA hawana kabisa. Wanakuruka kabisa miguu.
 
Mwenzao kastaafu jeshi na medali ambapo Kuna Nanga Lina 20yrs+ jeshini halitaweza pata hata moja, huyo hasala wako kazi kutafuna boxer sehemu za makalioni na Chamwino.
Shenzi kabisa.
 
Tena kwa hawa paka wa siku hizi ambao ukimwambia Kamata basi panyaa anasema mie sili hao nataka soseji

Unamwambia basi unguruma akimbie analiaa nyaaaaaaa aaa uuuuu moja kwa panya wakeee
 
Hicho kijamaa kinaweza kula suruali kwenye makalio tu yani akiamua basi siku hiyo ni kalio trouser day tu, shenzi kabisa.
 
Back
Top Bottom