Kwanini unamchukia huyu hustler? Tupe ushuda wako

U hustler wake shida unalenga kwenye maumivu yetu. Ingekuwa anapambana na majani nje huko wala tusingemmaindi ila mbwa huyu anaweza kula setifiketi za udsm kwa kisingizio cha u hustler shenzi sana huyu

Bora wamakonde wanavyowala tu mbwa hawa.
 
Uyo noma we katafute yeye atakuja kula tena night kali we unaota upo ubaya ubwelaaa
 
Bwana panya harakati zake Huwa ni nyakati za usiku usiku ( dj afro)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…