chichiboy1
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 1,371
- 1,856
mtu kama huyu akiwa baba mwenye nyumba mbona wapangaji watakoma..Ukiona una panya ndani hiyo nyumba ni chafu na umejaza mkorokoro yasiyo na maana. Kiujumla hiyo sio nyumba ni store au barn la majani ya ng'ombe.
Wanakula sana kazo kidogoPaka wa siku hizi wazembe zembe tu
Sumu ya penzi amaHivi kwanini siku hizi hawafi kwa sumu?
Chanjo tayariHivi kwanini siku hizi hawafi kwa sumu?
UnajikutaaaUkiona una panya ndani hiyo nyumba ni chafu na umejaza mkorokoro yasiyo na maana. Kiujumla hiyo sio nyumba ni store au barn la majani ya ng'ombe.
Labda wamegundua chanjo🤣Hivi kwanini siku hizi hawafi kwa sumu?
Hana ujanja kwenye mitego ya gundi ya kunasaHivi kwanini siku hizi hawafi kwa sumu?
Sio kujikuta bro. Kila mtu anaishi kwa standards alizojiwekea. Mimi siwezi kuishi nyumba moja na panya na mende.Unajikutaaa