Kwanini unaogopa kupanga vyumba vya laki moja kuendelea au nyumba nzima?

The Eric

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
6,446
Reaction score
10,976
Salaam....

Ni vijana wengi sana wamepanga lakini wanakaa vijistoo yaani wanashindwa kupanga vyumba vya hadhi yao au nyumba nzima.

Kwa mimi binafsi yangu napendekeza kijana atoke kukaa kwenye chumba kimoja kwani atachelewa sana kwenye mafanikio na fikira za kimaisha.

Wewe ni Graduate au Mwalimu, au mwajiriwa jaribu kuishi nyumba ya hadhi yako ikitokea ukapata ugeni na status yako ya kimaisha inapanda na ni rahisi kuaminika na kushikwa mkono.

Upgrade youself kwenye kila kimoja uone kama hutafanikiwa.

Nimeweka chumba cha laki sababu ni hizi

# chumba na sitting room kizuri tena vingine na choo ndani,
# kibaraza cha nje,
# fence na gate kali, cctv camera, n.k unakipata baadhi ya sehemu......ukiweza kuishi ushuani pia ni vizuri....
Zingatia chumba chako kiwe na choo kizuri cha kisasa.
# Madirisha ya aluminium/ PVC.
# Floor With Clean Tails...and Wall Painted Wallpapers.
# Gypsum boarding.
Hakikisha una furnitures za kueleweka bila kusahau TV yako ya inch 40' 42' hata 32' sio mbaya na bufa ya maana.

Angalizo usije ukatafuta nyumba bila mkataba na ukiipata ukaipenda, lipia kuanzia miezi 12 meaning if its 100k per month, pay it annually about 1.2M once. Hii itasaidia wewe kupambana na mengine na kusave budget zako, ukitaka uone dunia chungu lipa miezi 3 😁😁😁

Vijana tujitahidi kuishi karibu na ndoto zetu, sio lazima ujenge, ikiwa kujenga bado hujajiwekea malengo.

Ondoa dhana ya kukwepa gharama kwenye kila kitu kwenye haya maisha it will cost you.
 
Hadi sahizi,ningesema nipange chumba Cha laki huenda ningekuwa nimeamua kwa ndugu,huku nakula kwa masimango,nakumbuka wkt naanza kibiashara changu nilianza kukaa kwa mtu Tena kuomba hifadhi kumbe mwamba anadaiwa bhana,ikabidi nilipe,ikaisha nikalipa Tena xo ikabidi nipange mwenyewe bro alivyojua nilipopanga akalalama Sana unapangaje hapa,kwanza nyumba ya udongo hamna umeme,nikamwambia Mimi ndo ninaelipa akija mgeni atalala hapa km hataki atafute pa kulala,nilikuwa na lipa 30k 😄😄,palinisevu Sana mpaka nilipohama sahizi nalipa 60k hapo pamoja na maji na usafi,Mambo ya 100k nawaachia waajiliwa kupitia hapo nimefanya baadhi ya vitu
 
Salaam....

Ni vijana wengi sana wamepanga lakini wanakaa vijistoo yaani wanashindwa kupanga vyumba vya hadhi yao au nyumba nzima.

Kwa mimi binafsi yangu napendekeza kijana atoke kukaa kwenye chumba kimoja kwani atachelewa sana kwenye mafanikio na fikira za kimaisha.

Wewe ni Graduate au Mwalimu, au mwajiriwa jaribu kuishi nyumba ya hadhi yako ikitokea ukapata ugeni na status yako ya kimaisha inapanda na ni rahisi kuaminika na kushikwa mkono.

Upgrade youself kwenye kila kimoja uone kama hutafanikiwa.

Nimeweka chumba cha laki sababu ni hizi

# chumba na sitting room kizuri tena vingine na choo ndani,
# kibaraza cha nje,
# fence na gate kali, cctv camera, n.k unakipata baadhi ya sehemu......ukiweza kuishi ushuani pia ni vizuri....
Zingatia chumba chako kiwe na choo kizuri cha kisasa.
# Madirisha ya aluminium/ PVC.
# Floor With Clean Tails...and Wall Painted Wallpapers.
# Gypsum boarding.
Hakikisha una furnitures za kueleweka bila kusahau TV yako ya inch 40' 42' hata 32' sio mbaya na bufa ya maana.

Angalizo usije ukatafuta nyumba bila mkataba na ukiipata ukaipenda, lipia kuanzia miezi 12 meaning if its 100k per month, pay it annually about 1.2M once. Hii itasaidia wewe kupambana na mengine na kusave budget zako, ukitaka uone dunia chungu lipa miezi 3 😁😁😁

Vijana tujitahidi kuishi karibu na ndoto zetu, sio lazima ujenge, ikiwa kujenga bado hujajiwekea malengo.

Ondoa dhana ya kukwepa gharama kwenye kila kitu kwenye haya maisha it will cost you.
Na uwakumbushe wapange nyumba za watu wenye pesa ambao hawategemei hizo nyumba.
Mimi niliwahi panga nyumba moja ya mdada fulani yani nilipewa mkataba mara moja baada ya hapo yeye hata hafuatilii hajui kodi inaisha lini wala hadai. Mimi sasa ndiye nikawa nampgia kumwambia kodi nikuwekee kwenye akaunti au nikutumie kwenye simu. Ananiambia halafu anauliza hii sasa inaenda mpaka lini. Kuna muda nataka mtumie kodi namwambia kuna hiki na hiki kimeharibika, ananijibu we tengeneza na ela ya kodi itakayobaki nitumie.
Sasa kuna kipindi niliwahi kaa kwenye apartment za jamaa fulani hivi alikuwa anazisimamia ila zile nyumba zilikuwa za waziri fulani mstaafu. Aisee unaanza daiwa kabla ya mwezi mmoja yani sms, simu na kadhalika.
Experience yangu niliyopata katika miaka niliyopanga, suhauri mtu apange nyumba ambayo mwenye nyumba anaishi hapo hapo, pia sishauri mtu kupanga nyumba ambayo mwenye nyumba anaitegemea kama chanzo cha kuendesha maisha yake.
 
Vijana wamekusikia watalifanyia kazi.
 
Mkuu una nyumba nyingi sana unataka tuje kupanga, haha

Issue ni kuwa unachukua chumba na sitting room je una kazi nazo? Mfano mimi sishindi home kabisa, sasa sitting room au TV ya nin?

Idea nzuri though
Hauna mwanamke wa kuishi nae? Kama hauna wewe ina maana hauna mke?🤔
 
Hiyo hadhi yao wewe unaijua?

Kama unalipa kodi ambayo kwa mwaka inazidi mshahara wako wa mwezi, ujue tu umebughi.
Kwahiyo wewe maisha yako unayapanga kwa limit ya mshahara wako?🤔 Yaani unaishi kwa mshahara hauna vyanzo vingine vya mapato mzee?😂
Siku hiyo kazi ukiachana nayo ina maana utarudi kwenu kwa wazazi sabbau hatakuwa na maisha kabsia si ndio?🤔
 
Inategemea na maeneo mkuu....
Mwaka 2019 nilipanga chumba kimoja chenye choo na bafu, fance na gate kwa shilingi 150,000
 
Salaam....

Ni vijana wengi sana wamepanga lakini wanakaa vijistoo yaani wanashindwa kupanga vyumba vya hadhi yao au nyumba nzima.

Kwa mimi binafsi yangu napendekeza kijana atoke kukaa kwenye chumba kimoja kwani atachelewa sana kwenye mafanikio na fikira za kimaisha.

Wewe ni Graduate au Mwalimu, au mwajiriwa jaribu kuishi nyumba ya hadhi yako ikitokea ukapata ugeni na status yako ya kimaisha inapanda na ni rahisi kuaminika na kushikwa mkono.

Upgrade youself kwenye kila kimoja uone kama hutafanikiwa.

Nimeweka chumba cha laki sababu ni hizi

# chumba na sitting room kizuri tena vingine na choo ndani,
# kibaraza cha nje,
# fence na gate kali, cctv camera, n.k unakipata baadhi ya sehemu......ukiweza kuishi ushuani pia ni vizuri....
Zingatia chumba chako kiwe na choo kizuri cha kisasa.
# Madirisha ya aluminium/ PVC.
# Floor With Clean Tails...and Wall Painted Wallpapers.
# Gypsum boarding.
Hakikisha una furnitures za kueleweka bila kusahau TV yako ya inch 40' 42' hata 32' sio mbaya na bufa ya maana.

Angalizo usije ukatafuta nyumba bila mkataba na ukiipata ukaipenda, lipia kuanzia miezi 12 meaning if its 100k per month, pay it annually about 1.2M once. Hii itasaidia wewe kupambana na mengine na kusave budget zako, ukitaka uone dunia chungu lipa miezi 3 😁😁😁

Vijana tujitahidi kuishi karibu na ndoto zetu, sio lazima ujenge, ikiwa kujenga bado hujajiwekea malengo.

Ondoa dhana ya kukwepa gharama kwenye kila kitu kwenye haya maisha it will cost you.
Inategemea na kipato mkuu. usidhani watu wote wako level moja na wewe. Kuna mtu anahustle kupata 300k per month, alipe kodi laki. hizo 2 itamsaidia nini? Ukute wewe bajet yako ya siku moja ni laki 1. Ushauri wangu kwa vijana ishi kulingana na uwezo wako, cha muhimu uwe na mipango yako.
 
Back
Top Bottom