Kwanini unapaswa kununua bond au Hati fungani ya NMB?

Uzi ufufuke, mwenye kujua kuhusu bonds za CRDB tafadhali
 
Hati fungani hizihizi za 13%[/QUOTE]Kwenye hicho kitabu, huyo Kiyosaki si anasema; Financial market is the playground of the rich?
 
Waliosoma vitabu vya Kayosaki hawajawahi kuwa mamilionea achilia mbali kufanikiwa.

Utaishia kuwa inspired tu.

Baada ya miaka mitano ujipime kama umetimiza vingapi kupitia stories za Kayosaki.
Hahahaa mkubwa, umewahi kuvisoma? Naam, miaka mitano hii, watupe mrejesho wa mafanikio hasa ya kifedha, na hatua walizopiga hadi sasa!
 
Ni mpaka uwe na mipango thabiti na uhakika wa kurudisha msingi na faida...wengi wamepoteza pesa nyingi kwa kufanya biashara na uwekezaji mwingine kisha wakaishia kutapeliwa kuibiwa au kupata hasara
Mkuu nimekupata ingawa muda umepita! Naomba kama una uelewa wa jinsi treasury bills zinavyouzwa na kununuliwa pale benki kuu unieleweshe mkuu. Nahitaji hii elimu mno
 
Hizo bond wanaweka watu wenye hela ngingi ambazo hawajui wazitumiaje.
Sasa ww na mshahara wako wa 1m unataka ukanunue bond?!.. utachekesha..
Kwani hela nyingi ni kuanzia shilingi ngapi?
Iko hivi, kwa nini Wabongo lukuki (pamoja na munyambugha) hawashiriki kwenye kumiliki hisa (shares) ni kutokupata elimu ya kutosha kuhusu hatifungani (bonds), Vipande (units) na hisa.
 
Biashara za matikiti na vitunguu Ruvu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…