Pre GE2025 Kwanini unashabikia chama hicho cha siasa?

Pre GE2025 Kwanini unashabikia chama hicho cha siasa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376
Wakuu,

Kwanini unashibikia chama hicho cha siasa? Kuna watu huwaambii kitu kwenye vyama vyao. Hata chama kifanye madudu gani kwao chama ndio kinakuja mwanzo kuliko kitu chochote, na yuko tayari kufanya chochote kwaajili ya chama chake hata kama kinaathiri watu wengine vibaya. Ni kama wameziba macho na masikio, mradi chama kiko salama mengine haya muhusu.

Nini kinakufanya ushabikie chama hicho unachoshabikia?
 
Sishabikii upumbavu mimi...wajinga wasionufaika na vyama huku wanashabikia biashara za watu ni wapumbavu kabisa.
 
Back
Top Bottom