Umeongea jambo la maana sana, so why uzazi wa mpango? maanaTusipohitaji mtoto wewe saa hizi ungekua wapi ? Obvious usingekuwepo, nani angeandika hii thread yako? Na nani angeisoma? Watoto wa jana si ndiyo wakubwa wa leo ? M'buyu si ulianza kama mchicha ? Au ?
Kwa hiyo kifupi tunafuata maandiko kwa mujibu wa Comment yako lakinihaya weweeeeee.........hebu jiulize kwa nini usiwe na mtoto wakati una ndoa halali_zaeni mkaongezeke na muijaze dunia
Inaweza kuwa hiyo ndo sababu yako lakini kuna mahusiano yameingiaBila watoto kutakuwa na Taifa hapo baadae???
Usidhani tutakuwepo milele. Sisi tutaondoka watoto ndio watakaoendeleza juhudi zetu.
Inaweza kuwa hiyo ndo sababu yako lakini kuna mahusiano yameingia
matatizoni au mpaka kuvunjika kisa mtoto hapo ndipo nilipo.
Umeongea jambo la maana sana, so why uzazi wa mpango? maana
sisi katika familia yetu tuko kumi kwa mama, kwa baba tuko 27 Je kuna
tunaowanyima haki ya kuishi kama uliyoipata wewe?
Tusipohitaji mtoto wewe saa hizi ungekua wapi ? Obvious usingekuwepo, nani angeandika hii thread yako? Na nani angeisoma? Watoto wa jana si ndiyo wakubwa wa leo ? M'buyu si ulianza kama mchicha ? Au ?
Tatizo ni pale tunapojibu kwa niaba ya wengine.
Naungana na ww hakuna mtoto wa bahati mbaya hata siku moja,Kwanza hakuna mtoto anaepatikana bahati mbaya,ngoja nione sababu zao!
Kwa ninavyojua Dhumuni kubwa la ndoa ni watoto. Lakini ikitokea bahati mbaya wasipopatikana isiwe sababu ya kuvunjika kwa ndoa.
Mimi nimewahi kukutana nae tena anasema kabisa amejaribu sanaNaungana na ww hakuna mtoto wa bahati mbaya hata siku moja,
Mpaka sasa sijafanikiwa kukutana na mtu aniambie mtoto wake ni wa bahati mbaya kwani nina majibu yao ya kutosha nasubiri siku mtu aniambie maneno hayo.