Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afya haiharibiwi na pombe tu,hata kula sana ni hatari kwa Afya,Soda tunaambiwa kuwa ni sumu mwilini,Hata maji nayo ukinywa Sana utapata madhara Kuna kitu kinaitwa Water intoxication.Soma hiyo ujionee mwenyewe.Haya maisha bhana ishi tu,Siku ikifika ya kuondoka duniani unaondoka tu.Afya iimarike zaidi ya sasa.
Umeona eenhh?!!.Juzi kuna jamaa amenipa mchongo fulani matata tukiwa tunapiga Vyombo.Acha tu sio wewe tu. Watu wanadhani hatupendi kuacha tatzo vipato vya wengi viko connected kwenye bar / pombe. Mimi kazi na ma deal mengi ndio nayapatia huko.
Hata kiwanja changu goba nliwahi pata kwenye bar / pombe na sikulipa hela yeyote ya dalali. Mmiliki nlikua niko nae tunapiga vyombo.