Kwanini ununue shares za DCB pale DSE (Dar es Salaam stock exchange)

Sasa hizo analysis mbona haweki angalizo. Akatoka mtu akaweka mamilioni ya mamia baadaye zikashuka inakuwaje.
Yeye kwani ni certified financial advisor?

 
Who is he to give insight of that company bana??
Hizo ni subjective opinions zake nothing is guaranteed akioengaacho.
Why uje uongee ama uwaambie watu wa dump hela zao huko while he isn't certified to do so.
Hujui kuwa ata influence others to do decisions kufuata akili yake na je ikitokea losses will he be still be answerable to the investors losses?
 
Hata wewe unaweza kufanya Analysis na ukatoa insights, because Analysis is all about data, tafuta officials data kutoka kwenye source za kuaminika, tumia skills zako kusema unaona nini kupitia data hizo, just like forex, acha kuwa mbumbumbu
 
Update:
Wakati naandika uzi baada ya kufanya Analysis siku kumi zilizopita price ilikuwa 160, kwa sasa price za DCB ni 200
 
Wakuu naweza kupata data za performance ya DSE in percentage kila mwaka kutoka 2019 to 2024?
 
Nao
Naomba nichambulie hisa za crdb
 
Wakati naandika huu uzi August 5th, shares za DCB zilikuwa 160, kwa sasa shares za DCB ni ~500...
Hii ni sawa na kusema: Data, information, numbers never lie.
Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kujifunza zaidi!
Follow the Tanzania Wall Street channel on WhatsApp: Tanzania Wall Street
 
Mkuu, habari.
Do you mind taking your time to pass through my insights and compare them to how the stock( DCB) Is performing?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…