Kwanini ununue shares za DCB pale DSE (Dar es Salaam stock exchange)

Embu tupe headsup nyingine twende na yupi
 
Still ni wakati mzuri kununua hisa za DCB. Au pengine niseme wakati mzuri zaidi kuliko kabla.
Why?
Kwa sababu The company has shown a confirmation that it is on Growth phase.
Nikipata muda I will explain this in details. Lakini kwa wale tunaoamini numbers, Data and investors psychology- Jibu ni moja tu Buy now!!!
 
Chief ukipata muda tafadhali saidia ku explain hapo umesema..
 
Back
Top Bottom