RMK Freelancers Agency
JF-Expert Member
- Jan 15, 2025
- 397
- 442
- Thread starter
-
- #41
I'm doing analysis. Kuwa wa kwanza kupata updates follow our channel.Embu tupe headsup nyingine twende na yupi
Ninayo hiyo channelI'm doing analysis. Kuwa wa kwanza kupata updates follow our channel.
Follow the Tanzania Wall Street channel on WhatsApp: Tanzania Wall Street
Sawa karibu!Ninayo hiyo channel
Embu tupe headsup nyingine twende na yupi
Chief ukipata muda tafadhali saidia ku explain hapo umesema..Still ni wakati mzuri kununua hisa za DCB. Au pengine niseme wakati mzuri zaidi kuliko kabla.
Why?
Kwa sababu The company has shown a confirmation that it is on Growth phase.
Nikipata muda I will explain this in details. Lakini kwa wale tunaoamini numbers, Data and investors psychology- Jibu ni moja tu Buy now!!!
Okay, Chief nitapost na nitakutag. Unaweza kuwasiliana na mimi mawasiliano yapo juu.Chief ukipata muda tafadhali saidia ku explain hapo umesema..
Uko sahihi ni vizuri kununua mapemaKwa mwendo unavyokwenda DCB Bank ni right choice kwa sasa, mwakani tunaanza kuinunua kwa 1,500