ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kwa jinsi uchumi wa sasa ulivyoulivyo ni wazi kinyang'anyiro cha Hela kimeongezeka yaani vita ya uchumi baina ya mtu na mtu imekuwa kubwa mno hali inayopelekea baadhi ya wakubwa hasa maboss kuwaonea watendaji wadogo ilimradi tu wao wapate Hela peke yao walipe madeni yao kwanza, wajenge majumba wao, waendeshe magari Mazuri.
Mtu anashindwa kuwa na chembe ya huruma Kwa mtumwa wake kwamba uko mkoa wa ugenini yampasa asikutupe sana maana umefuata kwake kazi na pesa ili uishi katika huo mkoa uyamudu maisha maana Kwa mkoa wa ugenini kila kitu kitahitaji pesa ununue.
Ingawa ukisikiliza maneno Ya watu wanapotosha kwamba usifanye kazi maeneo ya nyumbani hautafanikiwa lakini ukweli ni kwamba hata nyumbani kuna uwezekano mkubwa pia wa kufanikiwa.
Kwa sababu jiulize ukiwa wilaya ya nyumbani kwenu una backup kubwa ya watu ambao suala tu la njaa hautalisikia kamwe ila ukiwa mbali ni rahisi kukadiriwa Haki yako yaani mfano we ni fundi umejenga na fundi wako ukastahili kulipwa 100000 ila kwakuwa fundi wako mkuu anataka daima akunyanyase basi atakupa 50000 akiamini Kwa kuwa una njaa wewe utapokea tu kishingo upande ila ukiwa kwenu hutakubali upigwe panga kwenye maokoto lazima uwe mkali si huna njaa uhakika wa misosi upo maana upo karibu na ndugu ama wazazi wanaojishughulisha na kilimo.
Kufupisha tu maelezo yasiwe mengi ni kwamba mkoa wa nyumbani unakuwa jasiri yaani ulipokulia unajua mbinu za Hela upite wapi upate hela na ushirikiane na nani maana umekaa nao unajua tabia zao kama ni waaminifu mnapiga biashara na una mtaji wa watu kukushika kuliko huko mikoa ya ugenini kila mtu anawaza la kwake ndo kwanza wapo tayari kukukandamiza uzidi kuwanyenyekea.
kama maisha ni mapambano heri kupambania kombe na Hao walio mkoani kwako palipo asili yako rahisi kuwa jasiri kutetea maslahi yako. kama mbwai inakuwa mbwai kweli.