Kwanini uogope kuuza nyumba?

Kwanini uogope kuuza nyumba?

Niliwah kopa mil 20 mwaka 2014 na nikarudisha vizuri mpaka wa leo mtaji mkubwa ninao
Kama uliweza hivyo basi si ajabu kuuza nyumba mil 60 ukapata zaidi.
 
Halafu waje kuuza watu wa Benki?
Hata we ukifa tunauza tu...kwa Nini usiuze NI biashara poa Kuna madalali wapo kwangu namsubiria simu nauza nanunua swaraji mpya napanga nyumba...hii sioni ikiniingizia Senti zaidi ya usingizi ...nataka kuchangamshwa na baba mwenye nyumba
 
Back
Top Bottom