bs group JF-Expert Member Joined Apr 28, 2017 Posts 816 Reaction score 523 May 10, 2018 #21 GAZETI said: Halafu waje kuuza watu wa Benki? Click to expand... Niliwah kopa mil 20 mwaka 2014 na nikarudisha vizuri mpaka wa leo mtaji mkubwa ninao
GAZETI said: Halafu waje kuuza watu wa Benki? Click to expand... Niliwah kopa mil 20 mwaka 2014 na nikarudisha vizuri mpaka wa leo mtaji mkubwa ninao
GAZETI JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 5,286 Reaction score 6,736 May 10, 2018 Thread starter #22 bs group said: Niliwah kopa mil 20 mwaka 2014 na nikarudisha vizuri mpaka wa leo mtaji mkubwa ninao Click to expand... Kama uliweza hivyo basi si ajabu kuuza nyumba mil 60 ukapata zaidi.
bs group said: Niliwah kopa mil 20 mwaka 2014 na nikarudisha vizuri mpaka wa leo mtaji mkubwa ninao Click to expand... Kama uliweza hivyo basi si ajabu kuuza nyumba mil 60 ukapata zaidi.
shanature JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 1,693 Reaction score 1,432 Jan 23, 2025 #23 GAZETI said: Halafu waje kuuza watu wa Benki? Click to expand... Hata we ukifa tunauza tu...kwa Nini usiuze NI biashara poa Kuna madalali wapo kwangu namsubiria simu nauza nanunua swaraji mpya napanga nyumba...hii sioni ikiniingizia Senti zaidi ya usingizi ...nataka kuchangamshwa na baba mwenye nyumba
GAZETI said: Halafu waje kuuza watu wa Benki? Click to expand... Hata we ukifa tunauza tu...kwa Nini usiuze NI biashara poa Kuna madalali wapo kwangu namsubiria simu nauza nanunua swaraji mpya napanga nyumba...hii sioni ikiniingizia Senti zaidi ya usingizi ...nataka kuchangamshwa na baba mwenye nyumba