Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Leo swali langu lipo kama ifuatavyo;
Kwanini uongozi wa Club ya Simba ulishindwa kutuma salamu za pole kwa uongozi na mashabiki wa club ya Seville kufuatia kifo cha mchezaji Jose Antonio Reyes?
Nimeuliza hivi kwa maana kwamba Jose Antonio Reyes alifariki (tarehe 1 mwezi wa 6) ndani ya wiki moja tu baada ya mchezo wa kihistoria (tarehe 23 mwezi wa 5) baina ya Simba na Seville katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Angalia tarehe kwenye picha hapo chini.
Ikumbukwe ya kuwa Sevilla si sawa na akina Ruvu Shooting ama Ndanda FC. Ule mchezo umeifanya Simba pamoja na Taifa la Tanzania kutangazwa vema kimataifa.
Kitendo cha Club kubwa kama Sevilla kukubali kuja kucheza mechi katika nchi ya dunia ya tatu kama Tanzania ni suala la uungwana sana walitufanyia hawa wazungu lakini viongozi wetu wa kandanda mmeshindwa kuwaonesha uungwana huo Sevilla at least by sending your sincere condolences.
SIMBA NA TFF MMETUAIBISHA SANA KIMATAIFA KAMA NCHI.
OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
NB: NSSF NIPENI PESA ZANGU MTAANI MAISHA NI MAGUMU SANA. MUNGU ANAWAONA MJUE NYIE WATU?