Kwanini upande wa kulia na kushoto wa mwili wa binadamu haipo sawa.

MAKANGEMBUZI

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2020
Posts
2,670
Reaction score
7,655
Kwenu wataalumu na wajuaji wa Jamiiforums hili swala kwakweli linanitatiza sana na kuna muda unajiona kama ni ulemavu fulani hivi.Naombeni majibu hii inatokana na nini?

Iko hivi mwaka 2022 nilianza rasmi mazoezi ya kubeba weight/nondo/vyuma.sasa kadri siku zinavyoenda mwili ukaanza kukaa ninayotaka(ukajaa) na kama mnavyojua gym zetu wanaweka vioo ili uwe unaangalia matokeo ya mazoezi yako,ndiposa nikaanzaa ku-notice mbona kama upande wangu wa kulia na kushoto haupo sawa mkono wa kulia na mguu wa kulia ni mrefu kuliko mguu na mkono wa kushoto.

Tofauti ya urefu na ufupi wa upande wa kushoto na kulia ni very ndogo ambayo ili uweze kujua lazima uwe na kioo kikubwa na uwe mdadisi sana imagine hata mimi mwenyewe nimekuja kujijua nikiwa na 26 years.

Badae nikaenda mbali zaidi kufanya uchunguzi nikagundua sio kwangu pekee hii ni kwa watu wengi ukitaka kugundua angalia tembea ya mtu kwa makini ni kama anachechemea,na ndio maana hata viatu haviishi kwa pamoja kuna kiatu cha upande mmoja lazima kiishe sori haraka kuliko kingine.

Badae nikaja na majibu huenda kwa vile upande tunatumia upande mmoja kama mkono na mguu wa kulia kwenye kazi nyingi za hapa na pale hivyo upande mmoja kuwa na nguvu kuliko mwengine labda kupelekea hayo mabadiliko ya upande wa kulia na kushoto(hii naona kama mboga saba ambao hawajawahi kubeba maji kilometa 3 na kufanya fanya kazi za hapa na pale haiwahusu)

NB:Tofauti ya left side na right sode ya mwili ni ndogo sana inakubidi uwe makini kuiangalia,Na Mungu alivyokuwa fundi kwenye upande wa mikono sio rahisi mtu wa nje akajua mikono yako haipo sawa.

Update:Napiga vyuma vya plate vile vinavyoandikwa kabisa weight sio vyuma vya zege na vya pikipiki.
 
Attachments

  • Screenshot_20240822_105311_Video Player.jpg
    Screenshot_20240822_105311_Video Player.jpg
    123.2 KB · Views: 8
Kwenu wataalumu na wajuaji wa Jamiiforums hili swala kwakweli linanitatiza sana na kuna muda unajiona kama ni ulemavu fulani hivi.Naombeni majibu hii inatokana na nini?

Iko hivi mwaka 2022 nilianza rasmi mazoezi ya kubeba weight/nondo/vyuma.sasa kadri siku zinavyoenda mwili ukaanza kukaa ninayotaka(ukajaa) na kama mnavyojua gym zetu wanaweka vioo ili uwe unaangalia matokeo ya mazoezi yako,ndiposa nikaanzaa ku-notice mbona kama upande wangu wa kulia na kushoto haupo sawa mkono wa kulia na mguu wa kulia ni mrefu kuliko mguu na mkono wa kushoto.

Tofauti ya urefu na ufupi wa upande wa kushoto na kulia ni very ndogo ambayo ili uweze kujua lazima uwe na kioo kikubwa na uwe mdadisi sana imagine hata mimi mwenyewe nimekuja kujijua nikiwa na 26 years.

Badae nikaenda mbali zaidi kufanya uchunguzi nikagundua sio kwangu pekee hii ni kwa watu wengi ukitaka kugundua angalia tembea ya mtu kwa makini ni kama anachechemea,na ndio maana hata viatu haviishi kwa pamoja kuna kiatu cha upande mmoja lazima kiishe sori haraka kuliko kingine.

Badae nikaja na majibu huenda kwa vile upande tunatumia upande mmoja kama mkono na mguu wa kulia kwenye kazi nyingi za hapa na pale hivyo upande mmoja kuwa na nguvu kuliko mwengine labda kupelekea hayo mabadiliko ya upande wa kulia na kushoto(hii naona kama mboga saba ambao hawajawahi kubeba maji kilometa 3 na kufanya fanya kazi za hapa na pale haiwahusu)

NB:Tofauti ya left side na right sode ya mwili ni ndogo sana inakubidi uwe makini kuiangalia,Na Mungu alivyokuwa fundi kwenye upande wa mikono sio rahisi mtu wa nje akajua mikono yako haipo sawa.
Eeh ndio nasikia maana nilijua wanaweke matiti yao ndio hayapo sawa..
 
Mkuu mkono au mguu unaotumia sana,inakuwa tofauti na usiotumia,mfano Mimi natumia shoto,nikivaa sana mkono wa kushoto inanibana,nikivaalia wa kulia inakaa sawa.Ushofu Iko hivyo.
 
Pande mbili kuwa tofauti wakati unafanya weight inaweza kuwa ni moja kati ya haya yafuatayo
1.hakuna uwiano wa weight ya kulia na kushoto yaan uzito tofauti
2. Wakati unanyanyua mikono yako inafanya usiishike weight katikati..upande mmoja unakuwa mzito kuliko mwingine
 
Wala hiyo sio sababu sipigi gym uchwara za zege napiga gym yenye vyuma vya plate kabisa kila upande unakuwa sawa.
 
Back
Top Bottom