Kwanini upande wa kulia na kushoto wa mwili wa binadamu haipo sawa.

Kwanini upande wa kulia na kushoto wa mwili wa binadamu haipo sawa.

Mara ya kwanza nilisikia kwa jamaa , yeye ni miguu anajaribisha mguu wa kushoto kiatu maana ndio mkubwa kuliko wa kulia.
 
Kiufupi mwili wa viumbe ambavyo ni bilateral symmetry haviko sawa . Ni vipande viwili tofauti vilivyounganishwa pamoja, unaweza kuugua upande mmoja tuu, unaweza ukapooza upande mmoja tuu
 
Back
Top Bottom