kwanini upo macho?

kwanini upo macho?

Nimeshtuka kuangalia matokeo livescore man u anaongozwa moja bila mpaka sasa sijapata usingizi japo game imeisha droo
 
Namuuliza Mungu kwanini baada ya kurudi kutoka msalani usiku mnene usingizi umekata....!😞
 
Sio mbaya....[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Back
Top Bottom