Kwanini Upo ONLINE muda huu...?

presider

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
1,320
Reaction score
1,738
Kwa upande wng me nipo online baada ya kukosa Usingizi. Kukosa usingizi inatokana na kulala njaa. Kwahyo toka saa 5 nna hesabau kenchi pia nnajenga nyumba na kubomoa mwenyewe. Vip kuhusu ww mwenzangu.....?
 
nimekosa usingizi nlikunywa bavaria apple mida ya saa nne usiku imeniponza
 
Mimi nimeamka namwandalia mwandani lunch ya kwenda nayo kazini.
 
Kwa upande wng me nipo online baada ya kukosa Usingizi. Kukosa usingizi inatokana na kulala njaa. Kwahyo toka saa 5 nna hesabau kenchi pia nnajenga nyumba na kubomoa mwenyewe. Vip kuhusu ww mwenzangu.....?
Nipo macho kwasababu naangalia matanuri ya mkaa yasiungue na kuwa majivu,msimu wa sikukuu huu mkaa unatumika sana.
 
Ukibatizwa kwa jina la Flora hata ukibadili dini uitwe Fatma Flora halitakaa liondoke.
Na Wewe mrembo upo macho!!
Afu ww unanipaga mshawasha sana sema basi tu ndiyo vile sijui nitakupata wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…