Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri Asprin aamke utaipata!!!!!Na Wewe mrembo upo macho!!
Afu ww unanipaga mshawasha sana sema basi tu ndiyo vile sijui nitakupata wapi.
Bado unamwogopa huyo mzee?Subiri Asprin aamke utaipata!!!!!
Upo poaNaam walinzi wote mulieko zamu usalama uko vp
Ngoja wakung'oe meno vibaka hadi ushindwe kutamka "mzuqa"! Utatamka " mudhukha"!Mimi nazungukazunguka mitaa ya keko hapa niitendee haki black belt yangu
Mimi nazungukazunguka mitaa ya keko hapa niitendee haki black belt yangu
Hahaha. Yani napishana nao tu moyoni nasema pleasees si mlianzishe. Kwasababu ya miiko yetu tulikula kiapo hadi kwanza ushambuliweNgoja wakung'oe meno vibaka hadi ushindwe kutamka "mzuqa"! Utatamka " mudhukha"!