Kwanini upo single?

Kila kitu kipo kwa sababu, watu wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa sababu mbalimbali zinazoeleweka kabisa kama kujenga familia nk.

Sasa kwa nyinyi mlio single Nipe Sababu ya msingi kabisa kwa nini upo single?.
Kwa sababu ninakokaa hakuna mademu wazuri na wanaojielewa.

Naomba unitafutie huko kwenu, Sawa Sawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…