Kwanini upo single?

Kwanini upo single?

Kila kitu kipo kwa sababu, watu wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa sababu mbalimbali zinazoeleweka kabisa kama kujenga familia nk.

Sasa kwa nyinyi mlio single Nipe Sababu ya msingi kabisa kwa nini upo single?.
Kwa sababu ninakokaa hakuna mademu wazuri na wanaojielewa.

Naomba unitafutie huko kwenu, Sawa Sawa!
 
Utakuwa unalala mshazali wewe kwenye kitanda cha 6x6 🤣🤣🤣.
Unajichanuwa mwaaaa
20241114_122425.jpg

ulijuaje kama hivyo
 
Back
Top Bottom