Kwanini upo single?

Kwanini upo single?

So good...Yuko wapi???
Mbinguni😹😹
1731565315793.png
 
Kila kitu kipo kwa sababu, watu wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa sababu mbalimbali zinazoeleweka kabisa kama kujenga familia nk.

Sasa kwa nyinyi mlio single Nipe Sababu ya msingi kabisa kwa nini upo single?.
Siku hizi hamna mtu ambaye yupo single kwa asilimia zote,siku hizi watu wapo single ila ndondo zinapigwa kama kawa huku wakitafuta usajili wa kudumu.
 
Back
Top Bottom