Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Urusi imebambwa inauza uchochoroni mafuta inayozalisha.
Imegundulika kuwa Urusi inapeleka mafuta yake Bahari Kuu (Deep Sea) na kuyapakia kwenye meli nyingine na mafuta hayo hupelekwa India kuchakatwa.
Mafuta hayo yakichakatwa hupelekwa Uingereza kuuzwa kwa makampuni yauzayo mafuta ya ndege.
Inakadiriwa kuwa tangu Urusi iwekewe vikwazo imeshajipatia zaidi ya Paundi milioni 120 Kwa njia Hiyo ya uuzaji mafuta kwa magendo.
Kwa nini Urusi isiwauzie mafuta watu wa BRICS badala ya kuhangaika kuuza mafuta yake kimagendo kwa nchi za mabeberu?