Miaka ya 1960, lilijengwa bomba la mafuta kutoka Iran kwenda Israel. Baada ya Mapinduzi ya Iran ya miaka ya 70 na Mafuta ya Iran yaliwekewa marufuku (Oil Embargo) na Jimmy Carter, so mafuta yakasimama kwenda Israel. Wanasema nature abhors the vacuum, Mfanyabiashara Marc Rich, aliyekuwa wanted na US na rafiki wa Shah, akashawishi kampuni yake, iliyokuwa registered Uswisi, inunue hayo mafuta na iyasafirishe kwenye hilo bomba la mafuta kwa siri na kuyapeleka israel ambapo alikuwa na connection na MOSAD; kwa sababu, "Borders are political and markets are neutral", Shah na Israel wakakubaliana, na biashara ya mafuta ikaendelea kwa siri kwa miaka mingi.
so, usishangae kusikia hata US inafanya biashara na Korea Kaskazini. Siasa na vita zina mambo mengi sana!