Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Huko kwa mabeberu ndipo soko kubwa la mafuta lilipoKwa nini Urusi isiwauzie mafuta watu wa BRICS badala ya kuhangaika kuuza mafuta yake kimagendo kwa nchi za mabeberu?
Kama inauza kwa siri wewe umejuaje?
Na kwanini hao mabeberu wanaendelea kununua?
Hivi unataarifa US anazidi kuongeza import ya Uranium kutoka Russia??
una umri gani?
Tunamwogopa beberu Amerika 😂India inachukua mafuta toka Urusi kwa Bei chee then inayauza nchi za Africa thus Bei Huwa juu,kwann tusinunue moja moja toka urusi
Jibu hoja sio unakimbilia umri farasi wewe
Tena huyo mchina ndo kabisa.China
Russia
India
Brazil
South Afrika
Saudi Arabia
Hao wote wanategemea USA, EU kufanya biashara
Jibu hoja sio unakimbilia umri farasi wewe
USA na EU wanategemea nani?China
Russia
India
Brazil
South Afrika
Saudi Arabia
Hao wote wanategemea USA, EU kufanya biashara
Ile ya miaka 35 China kukosa kazo ulikimbiana huku pia utakimbia.Dogo wewe mjinga sana unaokoteza vijihabari vya ajabu mitandaoni.
Mbona inafahamika importers wakubwa wa mafuta ya Russia tokea vita vyake na Ukraine vianze ni India na China na lipo wazi wala sio vificho.
Nimekimbia wapi wakati umekwisha jibiwa kuhusu swali langu la ritirement age au hausomi unavyo andikiwa kwenye nyuzi zako ?Ile ya miaka 35 China kukosa kazo ulikimbiana huku pia utakimbia.
Unajua kwamba India mafuta inayonunua Urusi hairuhusiwi kuyauza EU au US.
India inatakiwa kununua mafuta Kwa matumizi yake yenyewe na siyo kuisadia Urusi kuuza mafuta yake kinyemela.
Kwa akili zako za kipuuzi India mafuta anayo nunua Russia yanaweza tenganishwa haya ya matumizi yake haya anapaswa kuwauzia EU anapangiwa na hao hao EU ?Ile ya miaka 35 China kukosa kazo ulikimbiana huku pia utakimbia.
Unajua kwamba India mafuta inayonunua Urusi hairuhusiwi kuyauza EU au US.
India inatakiwa kununua mafuta Kwa matumizi yake yenyewe na siyo kuisadia Urusi kuuza mafuta yake kinyemela.