Kwanini USA baby Nyani Ngabu anaandamwa sana humu?

nyie vijana mnahitahi uwokovu wa haraka, otherwise post za namna hii hazitaisha jf
 
Huyo monkey Ngabu ni mjukuu wangu kutoka Ikungulyabhashahshi Bariadi. Sijawahi kuona watu wakimwandama. JF waungwana hubishana kwa hoja, Na ukiona kuna simbilisi analeta matusi jua kabisa kuwa huyo ni mwanachama kutoka JF kids Forum
 
Sitaki kuamini nn anaandamwa kumzidi magu au makonda ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…